KIINGEREZA  I  KISWAHILI
KUHUSU KAMPUNI

Mikoani Traders ni kampuni ya watengenezaji na wasambaji wa unga wa ngano wa azania ndani na nje ya nchi kwa zaidi ya tisa. Bidhaa zetu ni za hali za juu na zinafungwa kwenye ubora na ujazo wa kimataifa.

Bidhaa zetu ni kama zifuatazo: unga wa ngano SBF, HBF, King, Premium Grade 1, Biscuit Flour, PPF,Atta,Brown.

Jina ya nembo yetu ni, Azania Wheat Flour ndlo linalotumika ndani na nje ya nchi. Tuna viwanda viwili vya ngano kimoja kipo Nyerere road na kingine kipo Nelson Mandela Road mjini Dar es Salaam. Kongoli hapa kuona ramani ya kiwanda chetu.

Bidhaa Bora
Bidhaa zetu zinatengenezwa kutokana na ngano bora duniani kama vile Canda, Australia, America na tuna wataalamu kutoka nchi mbali mbali waliobobea kwenye fani ya usagaji wa ngano wakiwemo wahandisi, wakaguzi wakuhakikisha usafi na usandikwaji wa hali ya juu kwa usalama wa walaji.

Ngano bora huchunguzwa kwenye maabara kwa kutumia vifaa vya kisasa ili kuchambua ngano bora kwaajili ya usalama wa waalaji. Ngano yetu inasagwa taratibu ili kuhakikisha harafu nzuri na ladha nzuri inabakia kwa walaji. Pia tunajivunia kwa kuwa na mashine bora na za kisasa Afrika.

Usindijaji

Tunauhakika wa kutoharibika kwa ngano yetu kwa usafi na mashine za kisasa kabisa zenye kusindika bidhaa zetu wakifuatiwa na wahandisi waliobobea kwenye fani ya usindikaji ili iweze kuwafikia wateja wetu mzigo ukiwa salama ni lazma tutumie teknolojia ya kisasa na tunashukuru na kujivunia kwa kuwa na vitu vyote hivyo.


Tuma maoni au Wasiliana Nasi

Unga wa Ngano wa Azania
Mikoani Traders Co. Ltd
Nyerere Road, Industrial Area
P.O.Box 5055,
Dar es Salaam,
TANZANIA

SIMU: +255 22 2861235/ 236
FAKSI: +255 22 2860842

Barua Pepe: info@azaniawheatflour.com


 
Copyright © MIKOANI TRADERS LTD. All rights reserved.
Designed & Maintained by DESIGN ZONE