Kuhusu Tanzania Kuhusu Azania
KARIBU
Mikoani Traders ni kampuni ya watengenezaji na wasambaji wa unga wa ngano wa azania ndani na nje ya nchi kwa zaidi ya tisa. Bidhaa zetu ni za hali za juu na zinafungwa kwenye ubora na ujazo wa kimataifa.

Bidhaa zetu ni kama zifuatazo: unga wa ngano SBF, HBF, King, Premium Grade 1, Biscuit Flour, PPF,Atta na Brown.


Kampuni ya Unga wa Ngano wa Azania yasaidia Michezo

KAMPUNI ya Ngano Azania imekabidhi jezi seti nne kwa timu ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC), Baraza la Wawakilishi, Tanzania Stars na timu ya Zanzibar Veterani kwa madhumuni ya kutumika katika mechi maalum za kusheherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Soma Zaidi >> / Habari Mpya >>
TANZANIA NCHI YANGU, AZANIA UNGA WANGU
Copyright © MIKOANI TRADERS LTD. All rights reserved.
Designed & Maintained by DESIGN ZONE